Past Winners of Miss Tanzania

click hereCLick here to advertise

 

  • Miss tanzania 1994

    AINA MAEDA - Yupo Afrika ya Kusini, ameolewa na anafanya kazi huko kama mwanamitindo. [ + ] more

  • Miss tanzania 1995

    EMILY ADOLF - Yupo hapa Nchini, Ameolewa na ana miliki Mgahawa mmoja hapa jijini. [ + ] more

  • Miss tanzania 1996

    SHOSE SINARE - Yupo hapa Nchini, Ameolewa na anafanya kazi kama Mkurugenzi katika benki ya StanBic. [ + ] more

  • Miss tanzania 1997

    SAIDA KESSY - Yupo Arusha, Ameolewa na anafanya kazi na Mahakama ya Kimataifa ICTR. [ + ] more

  • Miss tanzania 1998

    BASILA MWANUKUZI - Yupo jijini DSM anafanya kazi binafsi katika duka liitwalo The Look Beauty Parlor. [ + ] more

  • Miss tanzania 1999

    HOYCE TEMU - Yupo hapa Nchini, anafanyakazi binafsi za Ushauri [Consultation ] [ + ] more

  • Miss tanzania 2000

    JACQUELINE NTUYABALIWE - Yupo hapa Nchini akifanya kazi kama Msanii wa Kizazi kipya. [ + ] more

  • Miss tanzania 2001

    HAPPINESS MAGESE - Yupo Marekani akifanya kazi kama Mwanamitindo. [ + ] more

  • Miss tanzania 2002

    ANGELA DAMAS - Yupo nje ya Nchi akifanya kazi na Taasisi moja ya Umoja wa Mataifa. [ + ] more

  • Miss tanzania 2003

    SYLIVIA BAHAME - Yupo hapa Nchini akifanya kazi kama Mwanasheria. [ + ] more

  • Miss tanzania 2004

    FARAJA KOTTA - Bado Mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha D'salaam. [ + ] more

  • Miss tanzania 2005

    NANCY SUMAR - Yupo hapa Nchini, akifanya shughuli binafsi [ + ] more

  • Miss tanzania 2006

    WEMA SEPETU - Ni mrembo anayefanya kazi binafsi za Sanaa ya Maigizo. [ + ] more

  • Miss tanzania 2007

    RICHA ADHIA - Ni mrembo anayefanya kazi zake binafsi katika duka liitwalo Beauty Clinic jijini DSM. [ + ] more

  • Miss tanzania 2008

    NASREEN KARIM - Ni mrembo aliyemaliza muda wake na kwa sasa anatarajia kujiunga na masomo ya Chuo Kikuu. [ + ] more

  • Miss tanzania 2009

    MIRIAM GERALD - Miss Tanzania anayeshikilia Taji… [ + ] more