Our Background
-
Washiriki 30 wa Fainali za Vodacom Miss Tanzania 2010 tayari wameshaingia kambini katika hotel ya Kitalii ya Giraffe iliyopo eneo la Jangwani karibu na White sands. Washiriki hao kutoka Kanda 9 na mikoa mbalimbali ya Tanzania watakuwa kambini kwa muda wa wiki 4 kuanzia Tarehe 16 Agosti hadi 11 Septemba 2010 siku ambayo Fainali hizo zitafanyika katika ukumbi wa Mlimani City uliopo jijini D’salaam.
-
Wakiwa kambini washiriki wote watapata fursa ya kujifunza mambo mbalimbali yanayohusu masuala ya urembo ambayo yatakuwa yakitolewa na Wataalamu mbalimbali waliobobea katika masuala ya urembo.
- 1. PILI ISSA
TABORA KANDA YA KATI
Occupation / Kazi au Shughuli :
MWANAFUNZI WA KUJITEGEMEA
Height /Urefu : 1m 67cm
Ambition / Matarajio ya baadaye :
KUWA AFISA UTAMADUNI
Hobbies /Unapendelea nini :
UWANAMITINDO - 2. GLORY MWANGA
ARUSHA KASKAZINI
Occupation / Kazi au Shughuli :
STUDENT
Height /Urefu : 1m.69cm
Ambition /Matarajio ya baadaye :
KUWA MWASIBU
Hobbies /Unapendelea ni :
KUBADILISHANA MAWAZO NA WENZANGU - 3. FLORA FLORENCE
MOROGORO MASHARIKI
Occupation / Kazi au Shughuli :
MWANAFUNZI
Height /Urefu : 1m.68cm
Ambition /Matarajio ya baadaye :
KUWA MWANASIASA
Hobbies /Unapendelea ni :
KUSOMA VITABU - 4. GENEVIEVE EMMANUEL
CHANG’OMBE TEMEKE
Occupation / Kazi au Shughuli :
STUDENT
Height /Urefu :1m.90cm
Ambition /Matarajio ya baadaye :
INTERNATIONAL RELATIONS OFFICER
Hobbies /Unapendelea ni :
SWIMMING AND READING NOVELS
- 5. BEATRICE PREMSIGH
DODOMA KATI
Occupation / Kazi au Shughuli :
STUDENT
Height /Urefu : 1m.84cm
Ambition /Matarajio ya baadaye :
TO BECOME A FEMOUS BEAUTY
Hobbies /Unapendelea ni :
READING, SWIMMING AND TRAVELING - 6. PENDO SAM
IFM ELIMU YA JUU
Occupation / Kazi au Shughuli :
STUDENT
Height /Urefu : 1m.89cm
Ambition /Matarajio ya baadaye :
TO BECOME A SUPER MODAL
Hobbies /Unapendelea ni :
TO LISTEN AMUSIC - 7. IRENE HEZRON
DAR INDIAN O KINONDONI
Occupation / Kazi au Shughuli :
STUDENT
Height /Urefu : 1m.82cm
Ambition /Matarajio ya baadaye :
KUWA MBUNIFU WA MAVAZI
Hobbies /Unapendelea ni :
KUSOMA VITABU NA KUOGELEA - 8. PRINSCA MKONYI
KILIMANJARO KASKAZINI
Occupation / Kazi au Shughuli :
CUSTOMER CARE / ROBBIALAC
Height /Urefu : 1m.82cm
Ambition /Matarajio ya baadaye :
KUWA MBUNIFU WA MAVAZI
Hobbies /Unapendelea ni :
KUSOMA VITABU NA KUOGELEA
- 9. CONSOLATA LUKOSI
TABATA ILALA
Occupation / Kazi au Shughuli :
STUDENT
Height /Urefu : 1m.87cm
Ambition /Matarajio ya baadaye :
BUSINESS WOMAN
Hobbies /Unapendelea ni :
MUSIC - 10. JALLY MUREI TANGA
KASKAZINI
Occupation/ Kazi au shughuli :
Mwanafunzi
Height/ Urefu : 1M 68cm
Ambition/ Matarajio ya badaae :
Muigizaji bora
Hobbies/ Unapendelea nini :
Kuangalia tamthilia na kusikilza muziki - 11. MARY KAGALI IRINGA
NYANDA ZA JUU
Occupation/ Kazi au shughuli :
Student
Height/ Urefu : 1M 87cm
Ambition/ Matarajio ya badaae :
Mtangazaji wa kimataifa
Hobbies/ Unapendelea nini :
kusoma vitabu, kubadilishana mawazo - 12. MARY ADAM
MOROGORO KASKAZINI
Occupation/ Kazi au shughuli :
Mwalimu wa computer
Height/ Urefu : 1M 67cm
Ambition/ Matarajio ya badaae :
Kuwa mwanamitindo
Hobbies/ Unapendelea nini :
Kusoma vitabu,kuogelea, kusafiri
- 13. BRITNEY URASSA
CHANG’OMBE TEMEKE
Occupation/ Kazi au shughuli :
Student
Height/ Urefu : 1M 63cm
Ambition/ Matarajio ya badaae :
Becoming an international relation officer
Hobbies/ Unapendelea nini :
Playing long tennis, travelling - 14. AMISUU MALIK
SINZA KINONDONI
Occupation/ Kazi au shughuli :
Chuo cha computer
Height/ Urefu : 1M 66cm
Ambition/ Matarajio ya badaae :
Business woman
Hobbies/ Unapendelea nini :
Music, swimming - 15. FURAHA DAVID
RUVUMA NYANDA ZA JUU
Occupation/ Kazi au shughuli :
about to start college
Height/ Urefu : 1M 65cm
Ambition/ Matarajio ya badaae :
Becoming a lawyer
Hobbies/ Unapendelea nini :
Reading books and designing - 16. SHADIA MOHAMED
MBEYA NYANDA ZA JUU
Occupation/ Kazi au shughuli :
Mwanafunzi
Height/ Urefu : 1M 83cm
Ambition/ Matarajio ya badaae :
Mwanamitindo
Hobbies/ Unapendelea nini :
Mitindo
- 17. ANGELINA NDEGE
LINDI MASHARIKI
Occupation/ Kazi au shughuli :
Form six leaver
Height/ Urefu : 1M 68cm
Ambition/ Matarajio ya badaae :
Economist
Hobbies/ Unapendelea nini :
Dancing, swimming, traveling - 18. ANNA DAUDI
CHANG'OMBE TEMEKE
Occupation/ Kazi au shughuli :
student
Height/ Urefu : 1M 63cm
Ambition/ Matarajio ya badaae :
Politician
Hobbies/ Unapendelea nini :
Swimming, playing football - 19. MARGARETH GODSON
SHINYANGA ZIWA
Occupation / Kazi au shughuli :
STUDENT
Height / Urefu : 1M 20 CM
Ambition / Matarajio ya baadaye :
TO BECOME A MODEL
Hobbies / Unapendelea nini :
READING FASHIONS MEGAZINES - 20. BUDURI IBRAHIM
SHINYANGA ZIWA
Occupation/ Kazi au shughuli :
Higher learning student
Height/ Urefu : 1M 69cm
Ambition/ Matarajio ya badaae :
Mfanyabiashara
Hobbies/ Unapendelea nini :
Muziki,kucheza na watoto
- 21. RACHEL SINDBAD
UDOM ELIMU YA JUU
Occupation/ Kazi au shughuli :
Higher learning student
Height/ Urefu : 1M 80cm
Ambition/ Matarajio ya badaae :
Development planner & modal designer
Hobbies/ Unapendelea nini :
Singing, reading novels, chatting - 22. WANDE MASEGESE
SINGIDA KATI
Occupation/ Kazi au shughuli :
Mwanafunzi
Ambition/ Matarajio ya badaae :
Mwanamitindo
Height/ Urefu : 1M 82cm
Hobbies/ Unapendelea nini :
Kuongea na marafiki - 23. SALMA MWAKALUKWA
DA CITY CENTRE ILALA
Occupation / Kazi au shughuli :
STUDENT
Education / Elimu :
TUMAINI UNIVERSITY LAW STUDENT
Height / Urefu : 1M 83 CM
Ambition / Matarajio ya baadaye : TO BECOME A LAWYER - 24. FLORA MARTIN
IFM ELIMU YA JUU
Occupation/ Kazi au shughuli :
Mwanafunzi
Ambition/ Matarajio ya badaae :
Kuwa msimamizi wa majanga
Height/ Urefu : 1M 88cm
Hobbies/ Unapendelea nini :
Kucheza mpira wa mikono
- 25. CHRISTINE JUSTINE
CHUO K. HURIA CHUO K. HURIA
Occupation/ Kazi au shughuli :
Mwanafunzi
Height/ Urefu : 1M 64cm
Ambition/ Matarajio ya badaae :Hobbies/ Unapendelea nini :
Urembo, kuchati,kusoma vitabu mbalimbali - 26. FATMA IBRAHIM
MARA ZIWA
Occupation/ Kazi au shughuli :
Mwanafunzi
Height/ Urefu : 1M 60cm
Ambition/ Matarajio ya badaae :
Kuwa mfanyabiashara
Hobbies/ Unapendelea nini :
Kuimba - 27. BAHATI CHANDO
DAR CITY C. KINONDONI
Occupation/ Kazi au shughuli :
Mwanafunzi
Height/ Urefu : 1M 65cm
Ambition/ Matarajio ya badaae :
Kuwa mfanyabiashara
Hobbies/ Unapendelea nini :
Kupanda milima, kuogelea,shopping - 28. ESTHER DENNIS
UDSM DARUSO
Occupation/ Kazi au shughuli :
Mwanafunzi
Height/ Urefu : 1M 70cm
Ambition/ Matarajio ya badaae :
To be a renown politician
Hobbies/ Unapendelea nini :
Reading books, watching TV ,travelling
- 29. ALICE LUSHIKU
DAR INDIAN OC KINONDONI
Occupation/ Kazi au shughuli :
Mwanafunzi
Height/ Urefu : 1M 63cm
Ambition/ Matarajio ya badaae :
International business woman
Hobbies/ Unapendelea nini :
Shopping, listening to kids ideas - 30. WILEMI ETAMI
DODOMA KANDA YA KATI
Occupation/ Kazi au shughuli :
Student
Height/ Urefu : 1M 63cm
Ambition/ Matarajio ya badaae :
Role model
Hobbies/ Unapendelea nini :
Swimming,chatting, exchanging ideas -
-
